APKDom.com - Download APK Android Apps Store
アプリのダウンロード Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 をインストールする 最新 APK ダウンローダ

ダウンロード Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 APK

4.4/5

ダウンロード: 47 (PlayStoreインストール数: 1,000,000+)

2439 votes, 9 stars
最新バージョンを入手する: Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 から Books & Reference ために Android. App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha... 続きを読む.

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16   tz.co.wadau.tenzizarohoni   アプリの詳細

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16   スクリーンショット

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16   説明

最新 Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 apk ダウンロード. App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.

Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16

FEATURES
★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti PlayStore APKファイルをダウンロードして設定するか、 GooglePlay AppStore からobbオリジナルをダウンロードしてインストールしてください。

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16   タグ

COMMENTS