APKDom.com - Download APK Android Apps Store
应用程序下载 Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 安装 最新 APK 下载程序

下载 Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 APK

4.4/5

下载: 47 (播放存储安装︰ 1,000,000+)

2439 votes, 9 stars
得到的最后一个版本 Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 从 Books & Reference 对于 Android. App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha... 阅读详细信息.

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16   tz.co.wadau.tenzizarohoni   应用程序详细信息

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16   屏幕截图

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16   说明

最新 Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 apk 下载. App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.

Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16

FEATURES
★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti 下载和安装玩店 APK 文件或下载和安装 obb 原从GooglePlay 应用商店。

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16   标记

COMMENTS