APKDom.com - Download APK Android Apps Store
App Download Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 Install Latest APK downloader

Download Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 APK

4.4/5

Downloads: 47 (Play Store Installs: 1,000,000+)

2439 votes, 9 stars
Get the last version of Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 from Books & Reference for Android. App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha... Read More.

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16   tz.co.wadau.tenzizarohoni   App Details

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16   Screenshots

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16   Description

Latest Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 apk Download. App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.

Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16

FEATURES
★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti Download and setup Play Store APK file or download and install obb original from GooglePlay AppStore.

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16   Tags

COMMENTS