Obtenga la última versión de Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 de Books & Reference para Android. App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha... Lee mas.
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 tz.co.wadau.tenzizarohoni Detalles de la aplicación
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 Capturas de pantalla
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 Descripción
Más reciente Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 apk Descargar. App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.
App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.
Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline)
Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Wakolosai 3:16
FEATURES ★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini. ★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline) ★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi. ★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote ★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo ★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya ★ Kuchagua aina ya fonti za aya ★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti Descargue y configure el archivo APK de Play Store o descargue e instale obb original desde GooglePlay AppStore.
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 Historial de versiones