APKDom.com - Download APK Android Apps Store
تحميل التطبيق Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 التثبيت أحدث APK تنزيل

تنزيل Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 APK

4.4/5

التنزيلات: 47 (تشغيل تثبيت المخزن: 1,000,000+)

2439 votes, 9 stars
الحصول على الإصدار الأخير من Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 من Books & Reference لـ Android. App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha... قراءة المزيد.

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16   tz.co.wadau.tenzizarohoni   تفاصيل التطبيق

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16   لقطات الشاشة

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16   الوصف

أحدث Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 apk تنزيل. App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.

Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16

FEATURES
★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti تحميل وإعداد ملف APK مخزن اللعب أو تحميل وتثبيت obb الأصلي من جوجليبلاي AppStore.

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16   العلامات

COMMENTS